Saturday, 26 March 2011

20% Ndio nani tena? Cheki video zake...

Tuzo za Kili Music Awards zilifanyika jana na msanii 20% aliibuka kidedea kwa kubeba jumlaya tuzo 5.  Kusema ukweli kwangu mimi ilikuwa mara ya kwanza kulisikia hilo jina, kwahiyo nikaamua nitafute nyimbo zake.  Kumbe ni msanii wa siku nyingi na nyimbo zake nilikuwa nshawahi kuzisikia ila basi tu jina  halikunikaa kichwani.  Kuna nyimbo moja hasahasa ambayo ulinikuna sana, inaitwa Maisha ya bongo,  fungua boneti uicheki hapo chini....Hizi si nyimbo zilizompatia tunzo hizo tano, ila ni nyimbo ambazo mimi binafsi nimezipenda, hasahasa ujumbe wake...

Wednesday, 2 March 2011

Maulid Celebrations - Video

A beautiful Madeh from the Maulid celebrations I attended recently. Mashallah the brothers sang beautifully and I thought i'd just share it with you all.  Enjoy!


Tuesday, 1 March 2011

Watoto from the Nile - Letter to Lil Wayne

Watch how a 10 year old goes hard on Lil Wayne about his degradation of black women.  I came across this video randomly and thought it was kinda cute, strong words from a 10 year old.  Lil Wayne better heed their advice.